Jux akiri kutumia mali za wazazi 'kuuzia sura' Jux Msanii wa bongo fleva Juma Jux anayetamba kwa sasa na ngoma yake ya 'Wivu' amesema kabla hajafanikiwa kimuziki alikuwa akitumia vitu vya nyumbani kwao kusumbua na kuuzia sura mjini. Read more about Jux akiri kutumia mali za wazazi 'kuuzia sura'