Serikali yaahidi kuendeleza michezo nchini
Serikali imesema imedhamiria kuwekeza katika sekta ya michezo kwa maendeleo ya taifa kwa kuwekeza katika maeneo mbalimbali ikiwemo Miundombinu ya michezo, elimu ya michezo, na kushirikiana na wadau wengine kuhakikisha sekta ya michezo inaendelezwa/