Samia hajaomba kujiuzulu nafasi yake - Serikali Ofisi ya Makamu wa Rais imekanusha taarifa za kwamba Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake. Read more about Samia hajaomba kujiuzulu nafasi yake - Serikali