Rais Magufuli asaini miswada mitano kuwa sheria Rais Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia na kusaini miswada mitano iliyojadiliwa katika mkutano wa tatu wa bunge kuwa sheria kamili za nchi. Read more about Rais Magufuli asaini miswada mitano kuwa sheria