Diamond Platnumz awavuruga mashabiki

Msanii Diamond Platnumz

Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' maarufu kama Simba ameachia kipande kidogo cha wimbo ambao ni remix ya 'All The Way Up' ambayo na yeye ameshiriki na kuchana katika wimbo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS