Maji bado ni tatizo sugu mkoani Ruvuma: RC Mahenge
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt. Binilith Mahenge amesema upatikanaji wa maji kwa baadhi ya maeneo katika mkoa huo bado ni wa kusuasua kutokana na kutokuwepo kwa miundombinu rafiki ya ujenzi wa huduma hiyo,