Wakala wa uchimbaji kutatua kero ya maji Dar
WAKALA wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA) kupitia kazi zake wameweza kutatua kero za upatikanaji wa maji kwa wananchi kwa kuwapatia vyanzo vya maji safi na salama kupitia uchimbaji wa visima.