Nape amng'oa katibu mkuu wa BMT katika nafasi yake
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye hii ametembelea Baraza la Michezo Tanzania (BMT) kujua namna ya utendaji wa baraza hilo unavyokwenda pamoja na changamoto zinazowakabili.