Peter wa P Square aomba radhi. Msanii peter ambaye anaunda kundi la P Square, ameomba radhi kwa kitendo chake alichokifanya, ingawa hajaweka bayana analenga lipi katika aliyoyafanya kwenye kundi lake abalo ni la familia, na jamii kiujumla. Read more about Peter wa P Square aomba radhi.