Aliyekaa jela miaka 28 akutwa hana hatia Mwanamume mmoja raia wa Marekani ambaye alikaa gerezani kwa takriban miaka 28 kwa kosa la mauaji ambayo amekuwa akiyakanusha kufanya ameachiwa huru huko Missouri. Read more about Aliyekaa jela miaka 28 akutwa hana hatia