"Tushirikiane kupunguza mauaji"- RC Chalamila
Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Kagera imeanzisha programu maalum katika kata zote 192 ili kutoa elimu kwa kushirikiana na wadau wengine ikiwamo taasisi za kidini, lengo likiwa ni kupunguza mauaji yanayoendelea kutokea na kusababisha kuwapoteza wananchi wasio na hatia.

