Vichwa vya vunja pambano la Pialali, Mfaume

Pambano la usiku wa mabingwa kati ya mabondia Idd Pialali na Mfaume Mfaume limeshindwa kumalizika kwa kupatikana mshindi kutokana madai mabondia hao kupigana vichwa kwa mujibu wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS