Dilunga aondoka Yanga asaini mwaka Ruvu Shooting Kiungo wa Yanga, Hassan Dilunga amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuitumikia Ruvu Shooting katika msimu mpya wa Ligi Daraja la kwanza Tanzania Bara. Read more about Dilunga aondoka Yanga asaini mwaka Ruvu Shooting