Serikali yatakiwa kupunguza mlolongo wa Maamuzi

Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Christopher Chiza ameitaka Serikali kupunguza Mlolongo wa hatua za kutoa Maamuzi ili kufanikiwa katika kufikia Matokeo Makubwa Sasa katika Sekta za biashara na Uwekezaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS