Kesi ya msingi ya katiba kusikilizwa leo

Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam nchini Tanzania leo itaanza kusikiliza kesi ya msingi ya kutaka ufafanuzi wa kimahakama juu ya mamlaka na mipaka ya bunge la Maalum la Katiba iliyofunguliwa na mwandishi wa Habari Said Kubenea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS