Vituo vya hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo
Serikali imeshauriwa kuongeza vituo vya utabiri wa hali ya hewa hapa nchini ili kuwasaidia wananchi hasa wa vijijini katika kupanga shughuli mbalimbali za kimaendeleo, jambo litakalisaidia katika kuondoa hasara za mara kwa mara hasa kwa wakulima.