Vibali ujenzi vituo vipya vya mafuta vyasitishwa

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk.Angeline Mabula

Wizara ya Ardhi imesitisha kutoka vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu 3 kuanzia leo Novemba 1o, 2022, ili kutoa nafasi kwa Wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS