Wafanyabiashara watakiwa kutunza kumbukumbu
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Geita imewahimiza wafanyabiashara kutunza kumbukumbu za biashara zao ikiwemo kutoa risiti za manunuzi, mauzo na gharama za biashara ili kulipa kodi stahiki na pia kutekeleza matakwa ya kisheria