RC Malima atoa maagizo MWAUWASA mradi wa maji
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Adam Malima ameiagiza mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira MWAUWASA kumpelekea ripoti kwanini ujenzi chanzo cha maji kilichowekwa jiwe la msingi na makamu wa Rais Dkt Phillip Mpango umeshindwa kukamilika kwa wakati