Simba SC kuongozwa na Rais Katibu mkuu wa Simba SC Ezekiel Kamwaga Klabu ya Simba imekabidhi marekebisho ya katiba yake ambayo yamepitisha kipengele kinachofuta nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti na kuruhusu kiongozi wa juu wa klabu hiyo aitwe Rais na Makamu wa Rais. Read more about Simba SC kuongozwa na Rais