Kila Mtanzania atakiwa kuwa na NIDA Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuwa na namba ya kitambulisho cha Taifa yani NIDA, ili kurahisha huduma za kidigitali zitakazomtambua kila raia kwa namba yake. Read more about Kila Mtanzania atakiwa kuwa na NIDA