AU yataka Zimbabwe kuondolewa vikwazo Rais Macky Sall wa Senegal ametoa wito wa kuondolewa vikwazo dhidi ya nchi ya Zimbabwe kwenye mkutano wake wa 77 wa umoja wa mataifa huko New York. Read more about AU yataka Zimbabwe kuondolewa vikwazo