Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akipokea cheki kutoka kwa Dkt Leonard Maboko Katibu wa Kill Trust katika tukio la Harambee ya uchangishaji wa fedha za kupanda Mlima Kilimanjaro ili kuendeleza mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI mwaka 2022.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu George Simbachawene amesema vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kwa 50% kutoka vifo 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka 2020