Rais Mwinyi amteua Mwinyi kuwa Mwanasheria Mkuu

Jumanne , 3rd Nov , 2020

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi, amemteua Mwinyi Talib Haji, kuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar.

Mwanasheria Mkuu mpya wa Zanzibar, Mwinyi Talib Haji

Uteuzi wa Mwinyi Talib umeanza leo Novemba 3, 2020.

Kabla ya uteuzi huo Mwinyi alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Soma taarifa kamili hapo chini