AZIZI RAJABU
Jina La Utani:
KIDUME
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KIONGOZI

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya BAGAMOYO Mkoa wa PWANI

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 5 Nina kaka 1 na dada 3 

Ninaishi na BABA na BIBI

Mtaani kwangu najulikana kwa MICHEZO YANGU YA DANCE

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: FUNDI UMEME

 

Mafanikio katika Fani: 
Sikubahatika kupata ila sijakata tamaa bado napambana
Year: