BASHILI MALIKI BAKALI
Jina La Utani:
MZUNGU MTOTO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
MAWAZO NA UTENGENEZAJI STEP

Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 4 katika famili ya watoto 4 Nina kaka 2 na dada 1

Ninaishi MBAGALA KUU na NDUGU ZANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa UCHESHI NA UKALIMU

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: SINA ZAIDI YA KUDANSI

 

Mafanikio katika Fani: 
Kiukweli sijapata Mafanikio Bado kaitka Dance ndo kwanza Naanza.
Year: