CHARLES EDWARD HIZZA
Jina La Utani:
MAJOJO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE  Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 Nina kaka 1 na dada -
Ninaishi MIMI na MAMA

Mtaani kwangu najulikan akwa UKALIMU NA UCHESHI

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni KULA

 

Mafanikio katika Fani: 
Kiukweli Mafanikio sijapata yoyote
Year: