DENNIS WILLIAM
Jina La Utani:
CHINJI KAGALU
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER

Nimezaliwa 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM,

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Nina KAKA

Ninaishi na MAMA na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA CHINJI KAGALU

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kudansi) ni: BODA BODA

 

Mafanikio katika Fani: 
Nina Biashara
Year: