EDY BRILLIANT
Jina La Utani:
KIPARA
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DIRECTOR OF THE GROUP

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam,

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3. Ninaishi na Baba na Mama,

Mtaani kwangu najulikana kwa jina la Kipara

Nimesoma mpaka Elimu ya chuo "Diploma"

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni Biashara

Mafanikio katika Fani: 
Mpaka sasa tunamshukuru Mungu tuko vizurikatika maisha yetu, tunasoma na tunaendeleza familia zetu kutokana na sanaa yetu.
Year: