EMA KIBA
Jina La Utani:
KIBA FOR REAL
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUCHEZA

Nimezaliwa mwak 1992 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi nim mtoto wa 2 katika famili ya watoto 3 Nina kaka MIMI 

Mtaani kwangu najulikana kwa EMA KIBA

Mimi nimesoma mpaka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: MUUZA NGUO NA VIATU

Mafanikio katika Fani: 
Kufika mbali na kujulikana kimataifa
Year: