GEOFREY JOHN
Jina La Utani:
GEOFREY PLAT
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUTOA MAZOEZI YA VIUNGO

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa MWISHO katika familia ya watoto 5 Nina kaka 4 na dada 1

Ninaishi MIMI PAMOJA na FAMILIA YANGU 

Mimi nimesoma mapaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: KUMSAIDIA MAMA YANGU KAZI ZA NYUMBANI

 

Mafanikio katika Fani: 
Dance ndo maisha yangu sasa sina budi kusema inanisaidia mpaka leo hii najitegemea mwenyewe kiume kupitia kazi yangu ninayoifanya.
Year: