HANS PASTORY
Jina La Utani:
HANS POP
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
MCHEBUAJI ( MBURUDISHAJI)

Nimezaliwa 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3, Nina kaka 1 na dada 1

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana KWA JINA LA HANS POP

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: MFANYABIASHARA

 

Mafanikio katika Fani: 
Nimetambulika sana katika jamii na imeniwezesha kufanya kazi sehemu nyingi
Year: