IBRAHIM SUDY MLIRO
Jina La Utani:
KIRUSI
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER

Nimezaliwa mwaka 1990 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Nina kaka 1 na dada 1

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa Kuimba na Kudansi

Mimi nimesoma mpaka 4M 3 ( FORM 3)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza kudansi) ni: Music tuu ndo Party of my Life. 

Mafanikio katika Fani: 
Bado sijapata Mafanikio ila nina moyo na natarajia mafanikio mengi tuu.
Year: