ISSA ALLY HAMADY
Jina La Utani:
ID - MAUWEZO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER PERFECT

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 8 Nina kaka 3 na dada 3

Ninaishi MBURAHATI na KAKA

Mtaani kwangu najulikana kwa ID - MAUWEZO

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: DJ

 

Mafanikio katika Fani: 
Kusaidia Wazazi wangu na Kuitangaza Nchi yangu Nje ya Nchi
Year: