JACKSON MOHAMED
Jina La Utani:
KATUNI / MAKOKO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUTOA STEP NA NI DANCER PIA

Nimezaliwa mwaka 1996 wilaya ya TEMEKE Mkoa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3 nina kaka SINA na dada NDIO

Ninaishi MAMA na DADA

Mtaani kwangu najulikana kwa DANSI

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi yakucheza dansi) ni: SINA ZAIDI YA DANSI

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikio yangu katika fani ni kuitangaza Dansi iwe kama kazi nyengine pili kujitangaza mwenyewe katika maisha yangu, tatu kuliendeleza kundi langu liwe kama makundi ya wenzetu hapa nchini na nje ya nchi.
Year: