JAMALI IDRISA
Jina La Utani:
DOGO VITUKO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUTOA MAWAZO KWENYE KUTUNGA NYIMBO

Nimezaliwa mwaka 1988 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3

Ninaishi Nyumbani na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa KUSHECK

Mimi nimesoma mpaka FORM 0NE

Shughulizangu za kila siku (zaidi ya kucheza dance ) ni: NACHEZESHA POOL TABLE

 

Mafanikio katika Fani: 
Nimejijenga kimaisha katika fani y kusheck
Year: