JOHN EMANUEL
Jina La Utani:
DOGO J
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUCHEZA

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi ni mtoto wa 1 katika katika familia ya watoto 3

Ninaishi TEGETA KWA NDEVU na MTAA WA SANGARANZA

Mtaani kwangu najulikana kwa DANCE 

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA 2

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: BAJAJI

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikio yangu Mazuei sana ndomana paka sasa bado nipo kwenye fani ya Dancer
Year: