KIPARAMBA SANGARAZA
Jina La Utani:
KIPIZZO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KIONGOZI

Nimezaliwa 1992 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Nina KAKA 1 na DADA 3.

ninaishi TEGETA na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANSI

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: BIASHARA NDOGO NDOGO

 

Mafanikio katika Fani: 
Nimefanikiwa kupiga show mikoani na kujiendeleza na biashara.
Year: