LALLY COSMAS
Jina La Utani:
UKUCHA
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUSAIDIA KUTOA IDEA NA STEP PIA

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 5 Nina kaka 1 na dada 3

Ninaishi  BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANSI

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: KUCHOTA MAJI NA KUFANYA USAFI KWANGU TUU

 

Mafanikio katika Fani: 
Nimejipanga kama Inavyotakiwa kwa Mtoto wa kiume na Kubwa ambalo naweza kujivunia Mafanikio ya Fani Hii ni Mmoja naesaidia kuimalizia Nyumba Yetu.
Year: