LUKAS CORNELY
Jina La Utani:
SOJEY DIZAINA
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUSHIRIKIANA NA WENZANGU

Nimezaliwa mwaka 1995 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 4 kaka SINA, dada NDIYO NINAE

Ninaishi BOKO MALIASILI

Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA SOJEY D 

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (&)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) SINA SHUGHULI YOYOTE ZAIDI YA DANSI

Mafanikio katika Fani: 
Kiukweli mafanikio bado sijayapata ila naimani Mungu yupo atanisaidia Nitafanikiwa.
Year: