NASRI YUSUPH
Jina La Utani:
BBOY LILOW
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUTOA IDEA KWENYE KUNDI

Nimezaliwa mwaka 1995 wilaya KININDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia

Ninaishi MABIBO

Mtaani kwangu najulikana kwa MJUMBE

Mimi nimesoma mapaka FORM 3

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: NASOMA

 

Mafanikio katika Fani: 
Bado sijayapa nazidi kujitaidi niweze kuyaona mafanikio
Year: