OMARY CHILLA
Jina La Utani:
CHILLA
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUSHIRIKI KUTENGENEZA STEP

Nimezaliwa maka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM 

mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 2 Nina kaka 2 na dada 1

Ninaishi MIMI na FAMILIA

Mtaani kwangu najulikana kwa CHILLA

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: NACHEZESHA PLAYSTATION 2

 

 

Mafanikio katika Fani: 
Dncer imenifanya nijitegemee katika maisha yangu imenifanya nisaidie familia yangu< pia imenifanya nijulikane sehemu mbalimbali na nimefika sehemu tofauti na kuwa na mashabiki na kuthamini familia.
Year: