PAUL MUSIH
Jina La Utani:
PAUL
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
MWALIMU

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya  KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 5 kaitka familia ya watoto 7 nina kaka 4 na dad 1

Ninaishi MAMA na NDUGU ZANGU WENGINE

Mtaani kwangu najulikana kwa KuDANCE

Mimi nimesoma mpaka FORM 3

Shughuli zangun za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KUCHEZA MPIRA

 

 

Mafanikio katika Fani: 
Kujulikana kiasi fulani
Year: