RAJAB ADAM
Jina La Utani:
MORE LOVE
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER IN WINGER

Nimezaliwa 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM.

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Nina KAKA 1 na DADA 1.

Ninaishi na DADA na KAKA

Mtaani kwangu najulikana kwa jina la MKALI ROJA

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA ( 7 )

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi ) ni : BIASHARA

 

 

Mafanikio katika Fani: 
Kuwa na kundi bora na kulifikisha pazuri INSHAALLAH.
Year: