RAMADHANI MOHAMEDI
Jina La Utani:
RAMA GAGA
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUTUNGA STYLE ZA KUCHEZA

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3 Nina kaka 1 na dada 1

Ninaishi MABIBO na MJOMBA

Mtaani kwangu najulikana kwa RAMA GAGA

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: DANCER

Mafanikio katika Fani: 
Kusaidia wazazi wangu, na kuitangaza Nchi yangu Nje ya Nchi.
Year: