SALUM ENDRICK
Jina La Utani:
B-BOY / MZEE WA GONGO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi nimtoto wa 4 katika familia ya watoto 4 Nina kaka NDIO na dada NDIO

Ninaishi MAMA na DADA

Mtaani kwangu najulikana kwa DANCE

Mimi nimesoma mpaka FORM 2

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KUFUMA SOFA

 

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikio yangu katika fani ni kujiendeleza kimaisha na kuikazia sanaa ya dansi
Year: