THOMAS JUSTIN
Jina La Utani:
LIZZO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUSAIDIA MAWAZO KATIKA KUTENGENEZA NYIMBO

Nimezaliwa Mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 2 

Ninaishi MAMA na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANSI 

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KINYOZI

 

Mafanikio katika Fani: 
Najitegemea mwenyewe Kupitia Music ninaofanya pia kujua Dansi tofauti
Year: