YAHAYA JAFARI
Jina La Utani:
BABLAO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER

Nimezaliwaq mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni toto wa 7 katika familia ya watoto 8 Nina kaka MDOGO na dada SAMIA

Ninaishi YOMBO VITUKO na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa YOHANA

Mimi nimesoma mpaka 7

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni KUIGIZA

Mafanikio katika Fani: 
Sijapata mafanikio yoyote ila nina kimafanikio katika dance yangu kua nitakua mmoja katika wao MUNGU YU[PO Amina
Year: