YONA HAULE
Jina La Utani:
SHIKITO MALEMBE
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
JUHUDI KATIKA MAZOEZI

Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3

Ninaishi MWENGE na BIBI 

Mtaani kwangu najulikana kwa UCHESHI NA KARIBU NA WATU

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: DJ

 

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikio katika fani hii ni nimebadili Maisha yangu kutoka Sehemu Fulani japo sio sana
Year: