YUSUPH SELEMAN YUSUPH
Jina La Utani:
YUSCO 4REAL au SUKARI YA WAREMBO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
NAJITUMA NA NINA JUHUDI BINAFSI

Nimezaliwa 1996 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3

Ninaishi MWENGE T.R.A na MJOMBA 

Mtaani kwangu najulikana kwa UCHESHI NA KUWA NA MAWASILIANO NA KILA MTU

Mimi nimesoma mpka KIDATO CHA TATU 

shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KUIMBA NA SHUGHULI ZA NYUMBANI

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikio katika fani ni nimebadili mazingira kutoka sehemu fulani hadi fulani yaani nimeDansi katika Makundi mengi na Mabadiliko nimeyapata
Year: